ST JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA
MKUU WA CHUO KIKUU CHA ST JOHN’S TANZANIA, ANAPENDA KUWATANGAZIA
WAHITIMU WOTE NA UMMA KWA UJUMLA KWAMBA MAHAFALI YA TATU YA CHUO YATAFANYIKA TAREHE 24/11/2012 SAA NANE MCHANA KATIKA VIWANJA VYA CHUO (MAIN CAMPUS) DODOMA. REHEARSAL ITAFANYIKA SAA TATU ASUBUHI YA 24/11/2012 NA KONGAMANO LA WATAALUMA (CONVOCATION) LITAKUWA TAREHE 23/11/2012 WANAFUNZI WOTE
WANAODAIWAWANAHIMIZWA KUMALIZA MADENI YAO YOTE KABLA YA
10/11/2012 VINGINEVYO HAWATAHITIMU MWAKA HUU HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA KATIKA MTANDAO WA CHUO: www.sjut.ac.tz WOTE MNAKARIBISHWA
TANGAZO -ST JOIN'S-3rd graduation.pdf
No comments:
Post a Comment