- BTP kwa wanafunzi wa MFAHE inatarajiwa kuanza tarehe 10th september 2012 na kumaliza tarehe 19th october 2012.
- tarehe rasmi ya kufungua chuo bado haijajulikana na mtajulisha haraka iwezekanavyo pale itakapopatikana.
- wanafunzi wanaombwa kuyaangalia vizuri matokeo yao ya provisional na wenye absent waandike barua kwa faculty cordinator. wale wenye absent ya SWA 206 -bunifu matokeo yao yanarekebiswa na mwalim Chipalo amethibitisha kuwa hana shida na mwanafunzi yeyote kwa wale waliomeja swa 206 na waliofanya kazi za kubuni.
- wanafunzi wawahi kuripoti chuoni kwani masomo yataanza mara baada ya kufungua ili tuweze kupata mda wa wiki mbili za matayarisho ya mitihani ya ue.
- wanafunzi wanatakiwa walipe ada mapema ili kuepusha usumbufu
KHATIB ALI
minister of education
This is what I expected mr.KHATIB ALI,keep it up.Post more and more advertisement concerning student matters.
ReplyDeleteThank you,
Mr.Ndomba.