Tuesday, October 2, 2012

TAARIFA KWA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI.

Viongozi wote wa serikali ya wanafunzi , mnahitajika kufika chuoni mnamo tarehe 8/10/2012 kwa ajili ya kuwapokea mwaka wa kwanza  na kuwapa maelekezo kuhusu chuo, agizo hili limetolewa na Mhs makamu wa raisi Ndg Mjema.
Taarifa na L JOSEPH

No comments:

Post a Comment