Friday, October 21, 2011

TANZIA

                                                           

 22 sept,2011

To:St.Mark,
Poleni sana Wanajumuia wote wa St Mark kwa kifo cha Anna Katanga. Mimi Binafsi na Menejimenti ya SJUT inasikitika sana na inaungana nanyi katika wakati huu mgumu na wamajonzi. Mwenyezi Mungu Ailaze Mahali Pema Peponi Roho ya Marehemu Anna Katanga.
Amen.

Prof. Eginald P. Mihanjo
Acting Vice Chancellor

No comments:

Post a Comment